As a community Church “SERF” (Swahili Evangelical Refugee Fellowship) serves low-income refugee families in Atlanta.
We are very eager to share these blessings by showing the love of the Lord through hosting on-going TRIMESTER BABY SHOWERS for any low-income pregnant moms.
👉🏿An opportunity to provide mothers with the tools and resources they need to ensure a healthy and happy start during and after the birth of their babies.
👉🏿Educational opportunities to other attendees, obtaining information and resources they need to make informed decisions about their health and their baby’s health, and a forum for asking questions and getting personalized advice.
AKUNA MATATA is a Kiswahili phrase roughly translated as “there are no troubles.”
This is our key encouragement phrase in this cause of hosting baby showers as it helps the parents-to-be feel less overwhelmed.
We believe in doing baby showers as a way to relieve stress and anxiety for low-income families. As we know, babies require a lot of things when they finally arrive.
Thus, our Akuna Matata Baby Showers are designed to allow the low-income expecting mothers to bond and connect with other expecting mothers by also providing guidance to expecting mothers who may not have the resources or knowledge to properly care for their new babies.
OUR MISSION
To provide baby showers for low-income parents while providing support through resources and seminars.
OUR VISION
Connecting with low-income expecting mothers and new mothers through baby showers by providing support and guidance and making an impact in the mothers’ and babies’ lives.
OUR PLAN FOR HOSTING BABY SHOWERS EVERY 3 MONTHS:
👉🏿TEN ELIGIBLE LOW-INCOME MOMS WITH 5 TO 8 MONTHS OF PREGNANCY SHOULD SEND US A REQUEST THROUGH THE REGISTRATION LINK
NOTE: FIRST COME, FIRST SERVE!
👉🏿LOW-INCOME MOMS WITH BABIES UNDER 3 YEARS OF AGE ARE ELIGIBLE; NEED TO SEND US A REQUEST THROUGH THE REGISTRATION BELOW
ELIGIBLE WOMEN CAN ACCESS REGISTRATION FORM BY CLICKING OR COPYING THIS LINK HERE👇🏿 (copy to google)
Printed forms are also available upon request.
👉🏿 OFFERING EXTRA DONATIONS TO ATTENDEES IN NEED ( NO REGISTRATION REQUIRED)
NOTE: DONATIONS ARE NEEDED – we will be reserving extra donations to offer to attendees in need.
👉🏿 We will help plan the perfect baby shower with games, music and more.
👉🏿Donors are the special guests to give away the inspirational messages and gifts
👉🏿 Donors or sponsors will provide the information and skills to prepare for newborn development and milestones.
TO DONATE
Our Akuna Matata Baby Showers are a program of the Swahili Evangelical Refugee Fellowship Church which is open to the public through registration (first come first serve)
Swahili Evangelical Refugee Fellowship is registered under 501(c)(3) with Tax ID (EIN) 82-5217331.
Please consider contributing to our cause. Every little bit helps to make someone’s special day more memorable.
We are always in need of:
Baby Items
Logistics, Supplies, Decor
Training Material and Equipment
Financial support to cover event rental space
Items can be dropped off at either of the following addresses below:
Secretary Issa Mpenda
5400 Memorial Dr. Apt 6B, Stone Mountain GA 30083
Pastor Roger Waboi:
1731 Harmony Trace, Lithonia GA 30058
We can also pick up at your location
If you have any questions, don’t hesitate to reach: Secretary Issa Mpenda at: (404) 246-8960
Our goal is to help new parents get the support and resources they need to care for their new babies
“Sisi tulio katika huduma hii ya kiuinjilisti ni wafuasi wa Yesu Kristo wanao abudi kwa lugha ya Kiswahili walio na shauku ya kukua katika utiifu na Imani na hamu ya kubadilisha jamii ya wakimbizi waliotuzingira.”
2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung’unikia Musa na Haruni, huko barani; 3 wana wa Israeli wakawaambia, Laiti tungalikufa kwa mkono wa Bwana katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba; kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote. 4 Ndipo Bwana akamwambia Musa, Tazama, mimi nitawanyeshea ninyi mvua ya mkate kutoka mbinguni; na hao watu watatoka nje na kuokota kila siku sehemu ya siku; ili nipate kuwajaribu, kwamba watakwenda katika sheria yangu, ama sivyo. 5 Kisha itakuwa siku ya sita, ya kwamba watayaandaa hayo watakayoleta ndani, nayo yatakuwa ni mara mbili kuliko wayaokotayo kila siku. 6 Musa na Haruni wakawaambia wana wote wa Israeli, Jioni ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana amewaleta kutoka nchi ya Misri; 7 na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wa Bwana; kwa kuwa yeye asikia manung’uniko yenu mliyomnung’unikia Bwana; na sisi tu nani, hata mkatunung’unikia? 8 Musa akasema, Ndilo litakalokuwa, hapo Bwana atakapowapa nyama wakati wa jioni mle, na asubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa Bwana asikia manung’uniko yenu mliyomnung’unikia yeye; na sisi tu nani? Manung’uniko yenu hayakuwa juu yetu sisi, ila juu ya Bwana. 9 Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele ya Bwana; kwa kuwa yeye ameyasikia manung’uniko yenu.
Waefeso 4: 29
29 Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia.
Warumi 1: 28 – 31
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. 29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya, 30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao, 31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
Warumi 12: 2 – 3
2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. 3 Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha imani.
“Sisi tulio katika huduma hii ya kiuinjilisti ni wafuasi wa Yesu Kristo wanao abudi kwa lugha ya Kiswahili walio na shauku ya kukua katika utiifu na Imani na hamu ya kubadilisha jamii ya wakimbizi waliotuzingira.”
Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? 2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo, Na kama mzizi katika nchi kavu; Yeye hana umbo wala uzuri; Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani. 3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu. 4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. 5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. 6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote. 7 Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake. 8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu. 9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake. 10 Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake; 11 Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; Naye atayachukua maovu yao. 12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.
“Sisi tulio katika huduma hii ya kiuinjilisti ni wafuasi wa Yesu Kristo wanao abudi kwa lugha ya Kiswahili walio na shauku ya kukua katika utiifu na Imani na hamu ya kubadilisha jamii ya wakimbizi waliotuzingira.”
Ikawa makutano walipomsonga wakilisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa amesimama kando ya ziwa la Genesareti, 2 akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao. 3 Akaingia katika chombo kimoja, ndicho chake Simoni, akamtaka akipeleke mbali kidogo na pwani. Akaketi, akawafundisha makutano ali chomboni. 4 Hata alipokwisha kunena, alimwambia Simoni, Tweka mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. 5 Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. 6 Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; 7 wakawapungia mikono washirika wao waliokuwa katika chombo cha pili, waje kuwasaidia; wakaja, wakavijaza vyombo vyote viwili, hata vikataka kuzama. 8 Simoni Petro alipoona hayo, alianguka magotini pa Yesu, akisema, Ondoka kwangu, kwa kuwa mimi ni mtu mwenye dhambi, Bwana. 9 Maana alishikwa na ushangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki walioupata; 10 na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.